Geofrey Dismas Leogney

Geofrey Dismas Leogney Follow

🔼Professinalism 1st
🔸Intellectual
🔸Motivational Writer
💪Failed Yesetday not Today
🔝Fall seven times and stand up eight.

https://www.geofreymedia.co.tz/

1,677 Followers  6,917 Follow

Share Share Share

Natafuta dawa ya kuacha kuweka vijiti mdomoni
Msanii Modest Bafite amepatwa na majanga ya kuibiwa begi lililokuwa na camera mkoani Morogoro wakati aliposhuka kuchimba dawa. Alikuwa aanze shooting Kesho. Ameripoti Polisi.
.
Lakini kwa yeyote atakae ona mtu anauza Camera Aina ya Cannon Mark II atoe Taarifa kwenye Number hizi 0718901026 zawadi Nono Itatolewa, Kwanza Camera Ina Alama Itakayoifanya Ijulikane pia Aina ya Camera yenyewe kwa Muundo Wake ni tofauti na Camera zengine kwahiyo ni jambo jepesi Kuitambua.
Ninawasiwasi liledaraja linaweza lisipitike kufikia Asubuhi ya kesho
Kwa style hii Wapinzani hawatakoma kuleta vurugu......Hata kama kashindwa kwa haki,so long as kuna namna hiyo hapo hakuna atakaye pendezwa.....Mfano huyo angekuwa ni wa CHADEMA,CCM mngekubali matokeo? Lazima mngepinga kama Mzee Wasira
😭😭
Drake-God's Plan 
Bajeti ya video hii ya Drake ni Dola za marekani $996,631.90 sawa na Tsh 2,242,744,474.3142
R.I.P Kijana mwenzetu.....Umekufa kwa mapenzi ya Mwanadamu Siyo ya Mungu....Wako mamia kwa maelfu ya watu duniani wanakufa bila hatia......WENYE MAMLAKA IPO SIKU
KILOMO NA UFUGAJI
Tanzania inasemekana kuwa nchi ya pili barani Afrika kwa kuwa na mifugo mingi.Inakadiriwa kuwa ni zaidi ya Ng'ombe Milioni 20. Botswana ni moja ya nchi za kiafrika ambayo inamifugo michache lakini ikisifika kwa kuwa na mazao bora ya mifugo barani Afrika.

Nchini kwetu nitofauti kidogo kwakuwa huku ng'ombe anazurula na mfugaji anazurula.....Mfugaji anakonda na Ng'ombe anakonda na wafugaji wa Tanzania kwao ni fahari kuwa na Mifugo mingi.

#Serikali haifugi mifugo yeyote,haioni kama ni wajibu wao kuwawezesha kielimu wafugaji kufuga kisasa na kuwatafutia soko la uhakika kwa ajili ya mifugo yao.
Mawaziri wamekuwa watu wa kufanya ziara na kutoa matamko lakini hatuoni juhudi za maksudi kuhakikisha kuwa wafugaji hawa wanafaidika na mifugo yao na kuchangia ktk uchumi wa nchi.

Ndugu zetu wakuluma nao ndiyo hivyo tena,pamoja na kuwa wao ndiyo wanawajibu wa kulisha nchi Bado wamekuwa wakilima kwa mazoea.

Mkulima wa Misri tunaambiwa analima kwa kilimo cha Umwagiliaji anavuna mazao mengi hadi wanauza nje ya nchi kwakuwa ndani mazao yametosha.

Mkulima wa Tanzania amezoea kulima hekari nyingi na kuvuna mazao machache hiyo nikawaida kwakwe. Hulima wala asijue wapi atapata soko la  mazao yake baadae akijaribu kuuza mazao yake nje,anakuja Serikali anamwambia hakuna kuuza nje ya nchi...... Wizara ipo lakini hakuna juhudi za wazi na mikakati pamoja na malengo ya kuhakikisha ni kwanamna gani wakulima hawa hasa wale wavijijini wanalima kisasa na kuzalisha mazao mengi na yenye quality kuweza kuuzika nje.

NINI KIFANYIKE?
Viongozi waweke siasa kando wafanye kazi.Kipindi cha Kampeni wengi walishuka kwenye magari ya milioni si chini ya sitini na wakajipambanua jukwaani kwamba wao ni watoto wa mkulima.....lakini hadi leo hawajafanya la kuonekana katika sekta ya kilimo.

Mawaziri husika wasikomee kufanya ziara za kustukiza tu bali wasafiri nje kwenye nchi za mfano nakujifunza kisha kuja kuimplemente walichojifunza huko nje.

Tukitumia vizuri ardhi tuliyonayo na mifugo tuliyonayo,Tanzania itakuwa nchi ya mfano Afrika na duniani,tutafika uchumi wa kati....Hatuwezi kujenga viwanda wakati huna malighafi,na utakuwa mtu wa ajabu kama utaagiza malighafi nje.
Binadamu tunaishi kwa kutegemeana.....Tujifunze kuheshimiana na kuthaminiana kulingana na nafasi ambazo tu.......kama wewe upo Benk mwenzako  yupo Hospitalini akihudumia wagonjwa ipo siku utaumwa utakwenda utamkuta pale na ulimletea nyodo alipokuja Benk......Kama unauza misumari mwenzako nauza mahindi.......kama upo Tanesco,mwenzako yupo Idara ya Maji........NYODO ZA NINI KUJIONA WA MAANA KUZIDI MWENZAKO?????