Chibu Dangote

Chibu Dangote Follow

The Rolls Royce Musician From East Africa|The CEO of Wasafi Limited Company |bookplatnumz@gmail.com
| A BOY FROM TANDALE👇

https://umgafrica.lnk.to/DiamondPlatnumzABFT

4,435,900 Followers  721 Follow

Share Share Share

Ndugu zangu wa ZANZIBAR!!! ningependa niwajuze kuwa JUMA NNE Hii ya Tareh 27/ 02 Team ya @wasafitv itakuwa pale NGOME KONGWE ZANZIBAR Kwenye Kuuanza Rasmi Mchakato wa Kuwatafuta Presenters ama Watangazaji wa @WasafiTv... Mchuano ambao Utakuwa Ukionyeshwa Ndani ya @WasafiTv.... Usiogope Kuhusu Elimu, jinsia, wala Umri... Muhimu Kujiamini.....Kumbuka  #HiiNiYetuSote  Watag watu wote unaowaamini Kwenye Kutangaza ZANZIBAR!... pia Usisahau kuweka kwenye Dp Logo ya @wasafitv kwa Ishara ya Upendo🙏
laiti ningelikuwa na uwezo ningemuwezesha kila kijana mwenzangu aliyemtaani aweze kupata kazi.....lakini uwezo huo sina...lakini kwa nafasi ndogo niliyonayo najitahidi kadri ya uwezo wangu, kila niipatapo fursa niitumie vyema kuweza kusaidia na wenzangu...nikiwa miongoni mwa wanamuziki waliopata hatua fani, ninaamini nina deni kubwa kwa Wananchi, Waandishi wa Habari, Watangazaji, Sanaa na hata wasanii wenzangu, Maana naamini uwepo wao ndio Umenifanya niwe hapa...Hiyo ndio sababu kubwa ya mimi kufungua chombo hichi cha @WasafiTv nikiamini kesho na keshokutwa kitakuwa moja ya Mchango wangu katika Tasnia yetu na nchi kwa ujumla... Chombo ambacho kitaongeza Ajira kwa Wanahabari wetu, Watangazaji, Wahitimu wa Shule na Vyuo, Wenye Vipaji na kwapamoja tukashirikiana na Vyombo vyetu vingine vya habari nchini Kupeleka sana na Tamaduni zetu Mbali zaidi..... Mwenyez Mungu Ibariki nchi yetu,  ibariki Sanaa yetu na na Vyombo vyetu vyote vya Habari..... Kwakuwa "hii ni Yetu sote"... kabla ya Kuwekea slogani/TagLine tuliyoifikiri...tafadhari wewe tuambie ungependa @wasafiTv itumie Slogan Gani....?
Ijumaa Kareem from my Beloved brother @ricardomomo....Swala yako ya ijumaa unaisalia Mskiti gani leo....?
-Record Label
-Wasafi Records
-Diamond Karanga
-Chibu Perfumes
WasafiDotCom
-Wasafi Studios
-Wasafi Tv
-Wasafi Fm
Pamoja na Uzuri Mliorithi toka kwa Mama zenu halaf Mkaenda kuniletea Wakwe Vijuso....Dah Mtanisikitisha sana...
favorite Bedroom Song...... Nyimbo yangu Pendwa Chumbani......yani Hapo "Nyama zetu za Ulimi,  zikikutana asali", kumekaa kama haya "Anzeni kula denda"🙆‍♂️...#ALELE @mbosso_
Good Morning toka kwa Muheshimiwa Balozi....🙋‍♂️ Asubuhi yako unaianzia wapi leo? @diamondkaranga
Pleae tell me, From your perspective which City has the best Radio and Tv Presenters...?
Eti nna swali...Hivi ni Mkoa Upi Una Vipaji sana vya Watangazaji?
@jasonderulo ft @rayvanny  @frenchmontana #TipToeRemix OUT NOW!!!🔥🔥🔥 #Wcb4life #BongoflevaToTheWorld #AfroBeats #Bongofleva Sema Msenge Ray Umetia Verse Humu, Doh!🙆‍♂️ @rayvanny 👐👐
While we are Heading to the Official Release of #AboyFromTandale Album 16th March..... AMERICA!!!! SAVE THE MONTH AND CITIES for #AboyFromTandaleUSATour !!! from june 22nd to July 23rd..... for More booking cont: @dmkglobal @mr.ligate 🔥🔥🔥
(Kuelekea kwenye Kuachiwa Rasmi kwa Albam ya #AboyFromTandale Ndugu zangu Mlio Marekani Jiandaeni kwa Ziara ya #AboyFromTandaleUSATour mdani ya State hizo 12 kuanzia tareh 22/06 hadi 23/07 Mwaka 2018!! kwa Booking zaidi wasiliana na @dmkglobal @mr.ligate )
#TUNAWASHA !!!! 🔥🔥🔥🔥 @wasafifm  @wasafitv
14th March NAIROBI / KENYA!!!
26 Days before the Reveal of  #AboyFromTandale Album!!! One of my Favorite Track in the Album PRE ORDER NOW...Link in my BIO🔥🔥🔥🔥Cc @safaricomltd
(Siku 26 kabla ya Kuachiwa Rasmi kwa Albam yangu ya #AboyFromTandale Albam ambayo naamini Ukiisikiliza Hautopenda kupeleka mbele hata nyimbo moja....Usikilizo wake wa kwanza Rasmi utafanyika Mjini Nairobi Nchini Kenya tareh 14 / 03 Maalum kwajili ya Wadau na Media Mbalimbali toka Barani Africa kuja Kuisikiliza kabla ya Kuachiwa Rasmi Traeh 16......kwa wakina sisi ambao Mambo ya itunes, Spotify na kadhalika sio yetu, Siku ya Kesho nitaweka Rasmi Namba ya simu na Utaratibu  Maalum wa Kukuwezesha Wewe Mpendwa wangu wa dhati kuweza Kuipata Albam hii ya #AboyFromTandale Mkononi Mwako Kabla Hijatoka Mtaani🔥🔥🔥) Cc @safaricomltd