I.F.B Company limited

I.F.B Company limited Follow

Watengenezaji wa bidhaa zifuatazo
Bidhaa No 1 Afrika Mashariki
Ivori Chocolate
Pipi ya Maziwa
Cocoa powder
Tomato n Chilli Sauce
IVORI IRINGA

1,041 Followers  23 Follow

Share Share Share

Sasa Zinapatikana madukani kote Nchini Tanzania kwa bei ya #Bukubuku #Jerojero

Usiulize Chocolate Sema Ivori Chocolate

#IvoriChocolate
Utamu zaidi...na Ivori Chocolate.
unaipenda ipi ya Jero Jero au Buku Buku?
Usidanganyike na  wafananishaji wa bidhaa zetu mtaani,hakikisha unanunua bidhaa zetu bora zenye nembo ya halisi ya IVORI, kwa utamu zaidi na thamani halisi ya pesa yako....
Jirambe na Ivori Chocolate
#ivorichocolate, zinapatikana madukani kote nchini Tanzania tena kwa bei rahisi Kuanzia shilingi 500 tu (Jero Jero)
Kwa utamu na ladha tofauti ya chakula chako ,tumia #ivoritomatosauce .

Kwa sasa Zinapatikana madukani kote Nchini TANZANIA,Usiulize Tomato tu Sema #IVORI TOMATO SAUCE
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wa I F.B wanawatakia  Sikukuu njema ya EID-El Fitri.
FURAHA YAKO FURAHA YETU.
Changamka kikwetu kwetu na #ivoricocoapowder kila siku,unaweza kuitumia kwa maziwa au maji ya moto kukifanya kinywaji kuwa bora nakukupa nguvu zaidi.

Usiulize Cocoa sema Ivori Cocoa Powder
#ivoricocoapowder
Utamu zaidi na #ivoributtermilk ni zaidi ya Pipi.
Utamu zaidi na #ivoricoffee
Tunawatakia Waislam wote Mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.
#Ramadan
#ramadhankareem🌙
Kwa utamu zaidi wa chakula chako,tumia #ivoritomatoesauce na #ivorichillisauce .

Usiulize Tomato sema #ivoritomatoesauce  kwa ladha tofauti ya chakula chako.
#ivorifruits
#utamuzaidi 
Pipi ya #ivori yenye ladha tamu ya Matunda.