Mange Kimambi

Mange Kimambi Follow

🇹🇿Tanzanian Free Speech Activist
*
*
*
Whatsapp: +1 310 855 4352
*
*
*
*
TO DOWNLOAD MY APP 👇👇 👇

https://play.google.com/store/apps/details?id=com.app.mangekimambi

1,345,583 Followers  380 Follow

Share Share Share

Mnaodai mafao yenu myasahau tu.... Na wengine msubiri mpaka 55 kupata mafao yenu.. Hakuna mwekezaji nchini inabidi abebe mafao ya watu kujaribu kufanikisha Tanzania ya viwanda na haitowezekana vile vile....
Ni kawaida ya Magu ku-deflect na kulaumi wengine kwa makosa yake. Wadai wamdai pesa zao jibu lake kwa Watanzania ni ' Mimi sina makosa Ila makosa ni ya Tundu Lissu' Pumbav kabisa .
.
Repost @bob_chacha_wangwe (@get_repost)
・・・
April 8 mwaka 1977, kutokana na madeni ya Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyokuwa ikidaiwa na kampuni moja ya nchi moja kutoka barani Ulaya, kutokana na kutolipwa na Jumuiya hiyo, kampuni hiyo iliomba amri ya mahakama kwajili ya kukamata ndege za shirika la jumuiya hiyo kama sehemu ya kudai haki yao. Mahakama ikawapa amri hiyo. Ni bahati nzuri kuwa Rais Jomo Kenyatta wa Kenya alipata taarifa hizo na kuzuia ndege zote za jumuiya zilizokuwa nchini Kenya kutofanya safari zake ili zisichukuliwe na wale waliokuwa na "Court Order". Hata hivyo, wadeni hao walilipwa fedha zao baadae baada ya kuvunjika kwa Jumuiya hiyo na nchi wanachama kugawana mali na madeni chini ya msuluhishi kutoka nchini Uswisi, Victor Umbritch. Swali dogo tu; Je, hawa walitumiwa na wanasiasa gani?
Tatizo lenu akipita huko mitaani bado mnaendelea kumshangilia so mnazidi kumpa bichwa. Ilibidi achuniwe kona zoooote za nchi ndio angestuka kuwa watu wamechoka kuonewa.... Tatizo Watanzania hatuna umoja, ambao bado hawajaumizwa na Magu wanaendelea kumpigia makofi mpaka siku yakiwafika ndo wanaanza kulia. Tunaawambia siku zote usikubali kuona Mtanzania mwenzako ananyanyaswa na serikali sababu ukae ukijua kuna siku yatakufika na wewe....
Bomoa Bomoa ya Kimara: Yani Magufuli hasikilizi order za mahakama anabomoa tu bila kutoa fidia yoyote ile jamani..... Kama umeamua kubomoa sababu ya miundo mbinu sawa bomoa Ila wape fidia jamani
Part 2.... Sasa hivi ndo mnafunguka eeeh? Baada ya Lissu kuwaumbua?? 🤣🤣🤣🤣. Lissu for president 2020!!. Pumbav zenu hizo hatua badala mumchukulie alietutia hasara ya bilioni 87 Eti mnataka kuwachukulia waliowaambia Watanzania ukweli.... Kwendraaaaaaaa
Part 1. Naomba kuuliza hao wanasiasa ndio waliovunja mkataba na hao wakandarasi??? Pumbav kabisa. Semeni tu mmechukia siri yenu imelipukaaaa wananchi wamejua ukweli.....🤣🤣 Eti mgogoro huo unamalizwa kidiplomasia semeni ukweli kuwa mnachota $38,000,000 ya walipa kodi kwenda kulipa Ili ndege iachiwe.... Pumbav kabisaaaa
Hawa Watu wanatia huruma?? Yani Magu hakubaligi kuwa yeye ndo alietenda kosa lazma awabambikie watu wengine makosa . Mgogoro umetengenezwa na wanasiasa kwani wao ndo waliovunja mkataba??
.
Repost @jamiiforums (@get_repost)
・・・
Msemaji wa Serikali amekiri kuwa Ndege mpya aina ya Bombardier Q-400 Dash 8 iliyonunuliwa na Serikali inashikiliwa nchini Canada.

Akizungumza na Wanahabari, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari, Bi. Zamaradi Kawawa amesema mgogoro huo umeanzishwa na wanasiasa.

Bi. Zamaradi Kawawa amesema kuwa Serikali imesikitishwa na ushiriki wa Wanasiasa na baadhi ya watu kuhujumu maendeleo ya nchi.

Serikali imeanza kuchukua hatua za Kidiplomasia na Kisheria ili kumaliza mgogoro huu. Wananchi watakiwa kuendelea kuiamini Serikali.
Huyo namba 5 ni mkwe wake kabisaaa, mume  wa mwanae.... Swipe picha ya pili......
.
.
Yani huyu mzee kashindwa akili Hata na Trump. Trump alimpomchagua  mkwewe kama mshauri wake alitangaza kabisa hatopokea mshahara Ili pesa za walipa kodi zisitumike kuwalipa mishahara watu wa familia yake... Ila huyu huyu Rais wetu hana haya, kaipanga familia yake kila kona na wanapokea mshahara wa walipa kodi.... Hii ni conflict of interest Jamani. Duh, only Africa unaweza ona upumbavu kama huu....
Mume bora anatoka CRDB Bank....🤣🤣.. Ila kaongea maneno ya kweli jamani.... Kumpenda mwanaume asietoa hela ni kazi haswa......
Alisema Tundu Lissu tutanyolewa bila maji mijitu ikasema Lissu sio mzalendo.. Sasa hamjioni wajinga????Alafu mnaoumia kulipa haya madeni  ni nyinyi wapambe nuksi... Mnadhani Magu atalipa vipi haya madeni bila kuwadai kodi? Sasa mtaanza kudaiwa hadi kodi za kubeba mimba....
.
.
Uwiiiii, ni trilioni ngapi hizo za kibongo ?? Jamani mwambieni ngosha hiyo Boeing Dreamliner asisuburi mpaka mwaka kesho, awaharakishe wampe sasa hivi la sivyo haitoki marekani ng'ooo watapewa ACACIA.......
.
.
Watu tunapoongea sio kama sio wazalendo ila tuliona kuwa jamaa pale alikuwa hajengi Ila alikuwa anazidi kubomoa. Licha ya hiyo ya kushtakiwa kitu kibaya zaidi ni kwamba hakuna mwekezaji wa maana atakaekuja kuwekeza Tanzania....Itabidi awe hivyo anawatafuta matajiri wa kiarabu anampa Bashite ruhusa awataje kama wauza unga anawatia ndani then anawakaba kooo waekeze kiulazima Kama alivyofanya kwa waarabu wa GBP wakaekeza kwenye bomba la mafuta......
.
.
Wako wapi wale wasenge wa kampeni ya Magu Baki?? Sasa watoe hizo hela kwanza ndo watuambie Magu baki. Stupid!!
Duh, Sasa hawa wanetu mpaka waje kufika level za kulazimishwa ku-speak English si wameshafika chuo kikuuu?😩 Ila wana kazi jamani, imagine mtoto hajui Kiswahili unamfundisha vipi??
Wapi Ngosha??🤣🤣🤣 Nyambaf kaufyata mpaka anaona haya.......