National College of Tourism

National College of Tourism Follow

NCT is a government owned institution which offers tourism and hospitality training. 🇹🇿
For more information visit our website.

http://www.nct.ac.tz/

29,217 Followers  90 Follow

Share Share Share

Karibu NCT ujifunze kozi ya FOOD PREPARATION AND COOKING SKILLS, kwa gharama nafuu,jua kua hamna fursa yenye uitaji mkubwa na faida kama ya chakula, kozi hii  uanza kila mwanzo wa mwezi na kwa gharama nafuu, sifa za muombaji  ujue kusoma na kuandika tuu hii ni fursa kwako,tembelea link kwenye bio kwa maelezo
#NCTladdertoexcellence#Utalii#Ukarimu
#NCTladdertoexcellence#Utalii#Ukarimu
Mwanafunzi wetu akitunukiwa cheti na Mkuu wa kampasi ya Temeke baada ya kuhitimu mafunzo ya mfumo wa Amadeus.
Amadeus ni mfumo unaomsaidia mwanafunzi kufanya booking na kuissue tiketi za wageni wanaotaka kusafiri kwa ndege. Tembelea website yetu link kwa bio kujua kozi mbalimbali zinazotolewa Chuoni na gharama zake.
#NCTladdertoexcellence#Utalii#Ukarimu
There will be special  Training program for Hospitality & Tourism Professional Development Starting from 14th -24th January 2019 at National College of Tourism, Bustani Campus. For more information  contact us through our website link on the bio, or through the numbers provided.
cc: @CanadaTanzania @ceohat
#NCTladdertoexcellence#Utalii#Ukarimu
Uongozi wa Chuo cha Taifa cha Utalii pamoja na wanafunzi wake wanawatakia kheri ya sikukuu ya Christmas na mwaka mpya
#NCTladdertoexcellence#Utalii#Ukarimu
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe: Constantine  Kanyasu akiwakabidhi baadhi ya wahitimu vyeti, kwenye  mahafali ya kumi na sita ya Chuo cha Taifa cha Utalii
#nctladdertoexcellence#utalii#ukarimu
Mahafali ya 16 ya Chuo cha Taifa cha Utalii, yaliyofanyika jana katika kampasi ya Bustani
Hongera kwa wahitimu wote waliomaliza
#nctladdertoexcellence#utalii#ukarimu
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe: Constantine  Kanyasu akiwakabidhi baadhi ya wahitimu vyeti, siku ya jana katika mahafali ya kumi na sita ya Chuo cha Taifa cha Utalii
#nctladdertoexcellence#utalii#ukarimu
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe: Constantine  Kanyasu akiwakabidhi baadhi ya wahitimu vyeti, siku ya jana katika mahafali ya kumi na sita ya Chuo cha Taifa cha Utalii
#nctladdertoexcellence#utalii#ukarimu
Siku ya jana, Naibu waziri wa Maliasili na Utalii, mhe: Costantine Kanyasu, alikua mgeni rasmi kwenye mahafali ya kumi na sita ya Chuo cha Taifa cha Utalii. Mheshimiwa Costantine aliwataka wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Utalii ambao wamehitimu mafunzo ya Utalii na Ukarimu kwenda kufanya kazi kwa bidii na kwa nidhamu ili waweze kuwa mabalozi bora wa Chuo hicho
#nctladdertoexcellence#utalii#ukarimu
Afisa mtendaji mkuu wa Chuo cha Taifa cha Utalii. Dkt. Shogo Mlozi akizungumza kuhusu mafanikio na elimu katika Chuo cha Taifa cha Utalii kwa wahitimu na wageni waalikwa wakati wa mahafali ya kumi ya kumi na sita yaliyofanyika jana katika kampasi ya Bustani jijini Dar es Salaam.
#nctladdertoexcellence#utalii#ukarimu