NATIONAL COLLEGE OF TOURISM

NATIONAL COLLEGE OF TOURISM Follow

NCT is the government owned institution which offers tourism and hospitality training.
For more information visit our website www tourismcollege.go.tz

http://www.tourismcollege.go.tz/

332 Followers  522 Follow

Share Share Share

NCT #aladdertoexcellence
Hospitality and Tourism Professionals Development Program
National College of Tourism in collaboration with Canadian Executve Organisation and Private Sector of Tanzania, invites you to enroll to a tailored designed training program for Hospitality and Tourism Professionals of Tanzania from 12th March to 22nd March 2018.
Contacts: 
NATIONAL COLLEGE OF TOURISM P.O. Box 9181
Land line +255 222 856 856
Fax +255 222 856 862
Email: Info@nct.ac.tz
Cell: +255 713 436 954 Dar-es-Salaam, Tanzania
National College of Tourism - Tour bus 泅
TAARIFA KWA UMMA
Chuo cha Taifa cha Utalii kinapenda kuujulisha umma kuwa,kuna matapeli wamekuwa wakitumia jina la SOROI SERENGETI LODGE kuwatapeli watu kuwa kuna fursa za ajira kwenye Kampuni hiyo hasa kwa watu wenye fani za Utalii na Ukarimu.
Pia matapeli hao wamekuwa wakitumia jina la Chuo cha Taifa cha Utalii, majina ya viongozi pamoja na Watumishi ili kuwaaminisha watu kuhusu suala hilo, mbaya zaidi kundi hilo linawapigia simu watu hasa waliosoma fani ya Utalii na Ukarimu kutoka kwenye vyuo mbalimbali kikiwemo Chuo cha Taifa cha Utalii.
Njia mojawapo wanayotumia kupata fedha ni kuwataka wanaohitaji ajira hiyo walipie gharama ya usafiri kwa njia ya ndege ili waweze kufika haraka kutokana na uhitaji mkubwa wa Wafanyakazi.
Chuo kinaufahamisha umma kuwa, hakina mahusiano yoyote na kampuni hiyo inayoitwa SOROI SERENGETI LODGE na kuwa taarifa hizo wanazotoa ni za uongo hivyo, watu wawe makini na matapeli hao kwani yeyote atakayetapeliwa kwa njia hiyo chuo hakitahusika.
The Chief Executive Officer (Ag) of the National College of Tourism, Dr. Shogo Mlozi.
Mkurugenzi wa mafunzo na shughuli za kitaaluma wa Chuo cha Taifa cha Utalii akiongoza zoezi la kutunukiwa astashahada na stashahada kwa wahitimu wa Chuo Cha Taifa cha Utalii katika mahafali ya 15 yalifanyika katika kampasi ya Bustani tarehe 15 Disemba 2017. Ambapo mgeni rasmi alikuwa Naibu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga (Mb).
SERIKALI : WATOA HUDUMA KWENYE MAHOTELI KUANZA KUBANWA

Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imesema ipo mbioni kutoa utaratibu utakaotumika kuwatambua wale wote wanaofanya kazi ya huduma za ukarimu kwenye sekta ya utalii nchini waweze kusajiliwa na kupewa vitambulisho vitakavyoonesha kuwa wana mafunzo yanayostahili ya kutoa huduma hizo kwa watalii. 
Amesema lengo la utaratibu huo ni kutaka kuwazuia wale watu ambao hawajapata mafunzo stahili wasiweze kuingia kwenye sekta hiyo kwa vile wanachafua talaamu hiyo. 
Hayo yamesemwa jana jijini Dar es Salaam na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga katika mahafali ya 15 ya kuwatunuku vyeti wahitimu 129 wa Chuo cha Taifa cha Utalii iliyojumuisha kampasi ya tatu ya Bustanini, Tandika na Arusha katika kozi mbalimbali ikiwemo Stashahada na Astashada kwenye huduma za ukarimu kwenye sekta ya utalii.

Alisistiza kuwa utaratibu huo utawawezesha watoa huduma katika sekta hiyo kupata sifa za kusajiliwa na kupewa leseni ya kuendelea kutoa huduma hiyo kwa mujibu ya sheria ya utalii Na. 11 ya mwaka 2008 kifungu cha 48. 
Katika hatua nyingine, Naibu Waziri Hasunga amesema wanataka kuwagiza waajiri wote waanze kuajiri watu waliopata mafunzo na kusajiliwa kwa utaratibu ambao utatangazwa hapo baadae. 
Amesema utaratibu huo mpya utaisaidia Serikali kutimiza azma ya kufikia watalii milioni 8 na fedha za kigeni dola bilioni 20 kila mwaka kufikia mwaka 2025, 窶倪 Tuna vivutio vya utalii vizuri mno lakini katika eneo kutoa huduma nzuri kwa watalii tumeona bado kuna tatizo ni lazima tuweke vigezo ili tuwe na watoa huduma bora窶吮 alisisitiza. 
Katika hatua nyingine amekiagiza chuo hicho kiandae kozi fupi fupi ili kuwawezesha vijana wanaofanya kazi kwenye hoteli, bar na sehemu za malazi waje wapate mafunzo hayo yatakayowawezesha kuboresha utoaji huduma katika maeneo yao ya kazi.

Amesema kuna aina mbalimbali ya watalii wanaokuja hapa nchini kuna wale wanaofikia kwenye kwenye hoteli zenye hadhi ya juu lakini kuna wengine wanafikia kwenye lodges na 窶倪僭uest house窶 ila wote hao wanahitaji kupata huduma zilizo bora bila kujali sehemu walipofikia kwa hiyo ni lazima vijana wote wanaotoa hu
Baadhi ya wahitimu katika mahafali ya 15 ya Chuo cha Taifa cha Utalii.
National College of Tourism 15th graduation
National College of Tourism 15th graduation 汨ゥ窶昨沁汝汨ィ窶昨沁
Karibuni wote katika mahafali ya 15 ya Chuo cha Taifa cha Utalii. Kesho tarehe 15/12/2017
Tents 笵コク set by Tour Guiding Students 汨 汨