Semio Sonyo (The Big Boss)

Semio Sonyo (The Big Boss) Follow

📻Radio/Tv Presenter at *Radio5
🎤Event Planner/Mc
💥Host: Good Morning Tanzania
⌚️06:30am-09:00am Monday to Friday
*Based in Arusha Tanzania

http://www.semiosonyo5.blogspot.com/

13,600 Followers  4,247 Follow

Share Share Share

#surayamchezo
"Akili nyingi inahitajika kutimiza kazi hii"
*Kipimo cha kujua umefanya kazi kwa ufanisi ndani ya masaa kadhaa uwe umechokaa,Njaa na Kiu pia ziambatane.
Ukitoka kwenye kazi hii hujakutana na vitu hivyo ujue umelipua kazi.
Jali na Penda Kazi Yako kwa Mustakabali wa Maisha Yako.
#kazikwanza
Its News Time
GOODMORNING TZ MAR 22.
Mada Kuu:
*Unadhani ni vitu gani vinavyo weza kukunyima raha  au kukupa Stress?
~Dondosha Comment Yako!
Host: @semiosonyo5  @hilda_kinabo 
#stressed 
#stressfree
Stress ni mbaya sana ktk maisha ya binadamu,unapokuwa unawaza kupita kiasi huwezi kufanya mambo mengine kwa ufasaha,Jaribu kuepuka Misongo ya Mawazo yatakayo pelekea ufanisi wako kuwa mdogo au kuharibu mpangilio wa kazi zako.
Najua wapo wengi waliopo katika wakati huu nliouzungumzia sasa jiulize na unitajie vitu zaidi ya vitatu vinavyoweza mvunja mtu moyo au kumpa Stress.
Mungu akubariki na akupe nguvu ya kuhimili matatizo ya dunia.
#maisharaha
MADINI vs SIMBA 
Live toka Arusha!!!
Usikose kufuatilia Mtanange Mkali wa Kombe la Shirikisho live toka Jijini Arusha kati ya Madini Fc na Simba Sc kwenye uwanja wa Sheikh Amr Abeid jijini Arusha kuanzia Saa Kumi Jioni
Crew nzima ya 5 Sports ya Radio 5 itakuletea mtanange huo liiive toka Arusha
+Semio Sonyo
+Ashura Mohamed
+Elirinyo
+Charles Molel
 Eng: Seleman Umande *Dar 91.3; *Dom  88.6; *Ar 105.7 *Mwz 92.5; ++Usikoseeeeee++
Princess Salha wa Sonyo
#princesas 
#queen 
Much thanks to Bituni Semio
@bituni
@hilda_kinabo 
@semiosonyo5
Salha wa Semio
"Ni rahisi sana kupenda"
Kazi ipo kwenye kudumu ktk hilo penzi"
Any Comment"
"For Love"
#reallove 
#reallove❤️
Happy Women's Day 2017
Huyu ndie mwanamke wangu wa nguvu anaitwa Salha Semio Sonyo,nampenda kuliko kitu chochote kile kama jinsi anavyonipenda.
God Bless Her in this day
#mwanamketunakuaminia